Ameninyima na mimi nimemnyima

Ameninyima na mimi nimemnyima

MKULUB

Member
Joined
May 7, 2016
Posts
24
Reaction score
13
Kama kichwa cha habari kinavyosema.... nikamtumia nauli...amekuja toka atokapo......amefika akanza kujibalaguza...mara anataka ondoka, mara anachelewa...nikamuomba na kumbembeleza...akanza sijui atachelewa....mara tumbo linauma...nikaona siyo kesi..nikamwambia powa..kabla hajaondoka akaniambia anaomba nimsaidie hela ya matumizi..nikamchunia..basi akaondoka kwa hasira...mpaka leo sijamtafuta..hajanitafuta.

Sasa wadau mimi ninakosa gani?
 
Kwani ulivyomuita ulitutaarifu? Labda ulianzia kumwingia kwa gia kubwa siunajua madhara yakuondokea na gia kubwa!!
 
Poa tu mbona na ungedai na nauli yako ya kujia Kwan hakujua kama anaumwa kipind anakuja au Alijua anaenda hospital
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema....Jana Jumamosi...nikamtumia nauli...amekuja toka atokapo......amefika akanza kujibalaguza...mara anataka ondoka,,mara anachelewa...nikamuomba na kumbembeleza...akanza sijui atachelewa....mara tumbo linauma...nikaona siyo kesi..nikamwambia powa..kabla hajaondoka akanambia anaomba nimsaidie ela...nikamchunia..basi akaondoka kwa hasira...mpaka leo sijamtafuta..hajanitafuta.sasa wadau mimi ninakosa gani
Kosa lako hulijuwi ama, hujatoa huduma mkuu ulitegemea afurahi , ukishindana na mwanamke wewe ndo utaumia, wao wanatongozwa muda wowote PIA wao hisia za kufanya tendo wanaweza wakakaa muda tu bila kushiriki tofauti na sisi wanaume..
 
Sasa kama mmechuniana huko humu jamvini yanatuhusu nini
 
Kosa lako hulijuwi ama, hujatoa huduma mkuu ulitegemea afurahi , ukishindana na mwanamke wewe ndo utaumia, wao wanatongozwa muda wowote PIA wao hisia za kufanya tendo wanaweza wakakaa muda tu bila kushiriki tofauti na sisi wanaume..
huduma gani mkuu...
 
Au ni wewe nini...mbona kama povu Fulani hivi

Wewe demu kafunga safari anakuja kwako kupigwa dushe ukashindwa kumvua, eti unamwambia nipe!

toxic9 kakushauri vizuri, unatakiwa utongoze tena kupewa mzigo, kakuona fala, unamchukulia kama nini sijui.

Jifunze diplomacy boss.
 
Duuh!!! aisee!!

Joined Date Yesterday.

Kazana Bwana mdogo hata sisi tulianza hivi hivi kupost chochote utakachojisikia ila baadaye tukaona tukaanza kujistukia wenyewe...
 
Duuh!!! aisee!!

Joined Date Yesterday.

Kazana Bwana mdogo hata sisi tulianza hivi hivi kupost chochote utakachojisikia ila baadaye tukaona tukaanza kujistukia wenyewe...
Njoo kwenye hoja mkuu...udogo au ukubwa hauendani na point uliyochangia...
 
Wewe demu kafunga safari anakuja kwako kupigwa dushe ukashindwa kumvua, eti unamwambia nipe!

toxic9 kakushauri vizuri, unatakiwa utongoze tena kupewa mzigo, kakuona fala, unamchukulia kama nini sijui.

Jifunze diplomacy boss.
ok..noted
 
Amekufanyia wema mkuu!,huwezi jua pengine ilikuwa siku yako ya kuikwaa miwaya...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom