Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,638
WANAUME baba yao mmoja!!
hata nyie vilevile wote mna tabia flan common kwa wote then mama yenu mmoja
WANAUME baba yao mmoja!!
bunduki ipi mkuu??
ningejua nisingempa penzi la kweli. ona sasa amenogewa
Alafu Hazole unaanza kunipa wasi na topic zako... Kwanza ilikua ni barmaind ambae anakung'ang'ania umuoe... Pili ilikua kutupa taarifa kua umepata mchumba (ambae nakumbuka hukunijibu kama ni yule barmaid ama lah!) Kupitia topic yako ya "ulazima wa kuoa" Hii topic has you on the hooks eeeh??
Habari yako Hazole (Sema mkuu kama kweli serious, ili kweli tutoe ushauri...)
hayo maneno yake,ni walewale wachezeaji tumkuu sijawahi kumpa mimba...soma vizuri. alizalishwa miaka mingi huko nyuma. mimi tulikuwa tunapeana raha tu, au kosa hatukuandikiana written agreement? no, tulikutana kiswazi swazi na ataachwa kiswaziswazi tu
Mtoto wapi wakati ni mmama mtu mzima mwenye watoto.
mzee acha kujivunga; angekuwa alikuwa ni mapoozeo kwako usingelimuonjesha hilo penzi la kweli; maadam ulimpa penzi la kweli basi unamaapenda hebu maliza udhia; tena anakujia na faida ya watoto mapacha; mungu akupe nini kidonda?
Uko na memory card ya GB ngapi ktk brain yako mama cuz umekumbuka yote kiasi kwamba hata Hazole hakumbuki aliyoyasema![/QUO
ASHADII ni balaa. ila ni mshauri wangu mkubwa. ana 250 GB mkuu. angekuwa wife wangu amakweli ingebidi nibadilike mambo mengi kuendana na kasi na viwango vyake
no mama yetu si mmoja labda mwalimu wetu!!hata nyie vilevile wote mna tabia flan common kwa wote then mama yenu mmoja
unakumbukumbu nzuri sana!!Alafu Hazole unaanza kunipa wasi na topic zako... Kwanza ilikua ni barmaind ambae anakung'ang'ania umuoe... Pili ilikua kutupa taarifa kua umepata mchumba (ambae nakumbuka hukunijibu kama ni yule barmaid ama lah!) Kupitia topic yako ya "ulazima wa kuoa" Hii topic has you on the hooks eeeh??
Habari yako Hazole (Sema mkuu kama kweli serious, ili kweli tutoe ushauri...)
Habari ndugu zangu wana jf,
nina rafiki yangu wa kike tumekuwa wapenzi miezi 8 sasa, kiumri tupo sawa.ana watoto wawili mapacha alizaa akiwa na miaka 19. Mimi sijawahi panga kumuoa huyu binti, sasa kuanzia mwezi uliopita nikaamua rasmi kutengana naye. Nilikaa nae kuzungumza kwamba uhusiano wetu si wa milele(pia sijawahi kumwambia kwamba nitamuoa) so, kuachana kupo njenje.daaaahhhh kama nilichokoza nyuki vile, kaamua kuniganda, anataka awe anakuja home kwangu kila siku na simu haziishi.nimeongeza msimamo wangu kwamba sasa ndo basi maana imekuwa fujo sasa.
Jana kanipigia simu ananiambia "piga ua lazima unioe"
duh nikasema hapa kazi ninayo, jamani ushauri wenu maana ngoja werevu mseme huyu anang'ang'ania nini?
By any means siwezi muoa hata aje na jeshi la nato.
Thanks