Amenifumania mara 3, tukatalikiana, sasa naoa anadai turudiane

wright brian

Member
Apr 27, 2015
5
14
Huyu mwanamke mara ya kwanza alikuja kunialika kwenye mahubiri yao ya wasabato, nikakubali kwenda ili nimpate maana nilimpenda,ni mzuri sana kwa kweli. Nikabatizwa nikampata tukafunga ndoa, tukapata watoto wawili.

Mmoja wao alikua na miaka mitatu na mdogo mwaka mmoja wakati matatizo yanaanza, tulikua tunaishi na mdogo wake na wife mwanafunzi wa chuo na alikua kaumbwa akaumbika na kifuani saa sita kamili. Siku moja tulibaki wawili tukiangilia movie wife alilala mapema.

Binti alivaa night dress transparent na g-string tu alipokaa ikarudi juu na kuacha maungo nje ambapo nilishindwa kuvumilia na kuanza kumuimbisha nikiwa close nae kabisa, huku nikitoa ahadi lukuki huku nikimtoa kufuli hadi miguuni.Bahati mbaya shetani akawa ametupitia.Siku moja tulijisahau wife akatushika live, ulitokea ugomvi mkubwa sana wa kifamilia nikapelekwa mbele ya wazee nikakiri kosa yakaisha.

Miezi kumi mbele wife akanishika na mpangaji wetu. Alikua akipanda lift yangu kwenda kazini kila siku tukazoeana bila kutarajia tukawa wapenzi, sikushikwa red handed ila alishika SMS za huyo dada kwa simu yangu hakunipeleka kwa wazazi tuliyamaliza wenyewe.

Mara ya mwisho alinishika na house girl wetu kutoka tanga,binti huyu sikuwahi kumuona na nguo nyingine zaidi ya khanga moja na pichu ndani basi na akiinama kudeki shanga zinaonekana wazi Mungu ni shahidi sikua na nia mwanzoni lakini kwa hali nilishindwa.

Usiku mmoja nilienda kugonga hodi room kwake alipofungua nikatoa noti ya elfu kumi na kumpa huku nikimuomba niingie chumbani, akaichukua elfu kumi na kunifungulia Ikawa ndio mchezo wetu jumamosi moja wife alipoenda church nyuma tukaanza, kumbe kajificha nyumba ya pili
Akarudi na kutushika live.

Safari hii ndugu zake hawakutaka suluhu walimchukua na kuondoka nae pamoja na watoto, Housegirl alipigwa nusura ya kufa alikimbia hakuwahi kurudia hata nguo zake.Baada ya miezi kadhaa nikaletewa barua ya wito wa mahakamani kesi ya talaka hapo tulishapita Ustawi wa jamii, balaza la usuluhishi la mtaa mwishowe mahakamani.

Mke aliwakilishwa na dada yake wa tumbo moja mimi sikuweka wakili.Kutokana na wao kuwa na watu wengi kwenye mfumo wa sheria kesi ilichukua miaka 2 tu talaka ikatoka, mke wangu alikataa kudai Mali hivyo hawakuambatanisha madai hayo ingawa walimshinikiza sana.

Miaka minne imepita sasa tangu tutengane na miaka 2 tangu talaka rasmi itolewe mahakamani
Nimepata mchumba kazini kwangu, binti Wa kirangi na amekubali tufunge ndoa kwa mkuu Wa wilaya na tufanye sherehe ndogo tu ya watu kama 50-60. Nimeshalipa mahali na taratibu zingine zinaendelea, bibi harusi nimwemwambia mimi ni mtalaka ila sijasema sababu ni uzinzi na akakubali.

Hivi karibuni mke wangu wa zamani amekuja na kuomba turudiane, tuyasahau yaliyopita kwamba amanisamehe, kwamba tulee watoto wetuKwamba ndugu zake ndo walimshinikiza kuniacha haikua lengo lake kwamba ametafakari kuhusu watoto wetu na ameona watoto walivyoathirika kisaikolojia kipindi hiki cha miaka minne.Huyu mchumba wangu Mpya tumefahamiana kwa miaka miwili si mtu mbaya ila simfaham kiivyo

Mama watoto wangu namfahamu kwa undani mimi ndio mwanaume wake wa kwanza ingawa hajui mapenzi nakumbuka kwake yeye doggie style, missionary position na zingine za kisasa ni dhambi na hazitaki kabisa, blow job hataki ni dhambi kwake ila kwa tabia amekamilika amenibembeleza sana amenisihi nisifunge ndoa na mwanamke mwingine na anasema amekaa miaka minne hajatembea na mtu mwingine.

Wakuu nashindwa niamue nini moyoni ni kama nawapenda wote wawili ila nikifikiria sana nawaonea huruma watoto mke wangu alifanikiwa kujenga ambapo huwa naenda huko kuwaona watoto mara kwa mara kiukweli huwa hawana furaha bila mimi.

Naombeni ushauri wenu
 
Kama alivyofanya peocess za kuachana, afuate mule mule.
1. Aitishe kikao cha ndugu zake.
2. Aende mahakamani akatengue kila alichokisema.
3. Yule yule aliyemwakilisha kudai talaka mahakamani, huyo huyo aongoze na hili.

Asije akawa kuna alilosahau kulifanya ndo anataka aje alikamilishe.

NB: usije ukamrudisha kwa siri kama vile ndo unaanza naye. Fuata reverce process ya yote yaliyopelekea kuandikwa talaka.
 
Mwanamke hupenda mwanaume anajua mapenzi na mwenye mvuto kwa wanawake wengine. (ndio maana anarudi)
..
Ushauri, Waoe wote wawili
^^
 
Shetani tunamsingizia vingi sana. Anyway muosha huoshwa, jiandae nawe kulia kama yeye alivyolia hapo ngoma lazima iwe droo. Then akili yako itatulia sasa na kujua nini cha kufanya.

Sheria ni msumeno isije ikanirudia.
 
Yaani nimeshindwa hata nikushauri nini... Maana kama ni uzi nzi umetisha mkuu, hata shetani unaemsingizia anabisha kuwa hakukupitia kabisa... Looh!!
 
Usimrudie huyo mwanamke, utaiona ndoa chungu kwa sababu hatakuwa na imani tena wewe. Hudumia watoto na mara mojamoka uwachukue ukae nao.
 
Familia yako ina pepo la ngono na kimsingi hakuna unayempenda kati yao upo kingono zaid.

So kama.vp we amua kuoa.yeyote maana hata ukioa bado utaendeleza michezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom