Kokubanza-G
Senior Member
- Oct 2, 2013
- 111
- 23
Naomba mnisaidie.Nina boyfrend ambae tumekua wote kama miez 3 ivi.Hatujawai kuduu wala hajawai ongelea ilo suala.cku moja tukiwa outng nkamtania kua naomba penzi lake ili nimsome kama ndo walewale anazuga tuu ama vp,alchonijb ni kua tusubr mda ukfka tutaduu na akaongeza kua bado hatujapma afya.Nkamwambia sawa,yakaisha .Akanisndkza ad hom kwa furaha tu.Cha ajab frm that day akawa hapokei cm yang wala kujb sms na ni mda wa miez 5 sasa.Nlimuulza rafk ake wa karb kua tatzo ni nin,akanambia yye aliongea nae lkn jamaa alimjib kua atuache yeye na mimi tutayamaliza.we unamuelewaje?????
Miezi 5 kakuchunia au kakutosa?
Mchuno gani wa mieI 5?
Na wewe umetulia unamsubiri ageuke?
Mmmmh! Huyo jamaa atakua hakatwi mtu hapaaaaa
Miezi 5 kakuchunia au kakutosa?
Mchuno gani wa mieI 5?
Na wewe umetulia unamsubiri ageuke?
kwahiyo umalaya ndo uanaume?Mshamba tu huyo, kuna kitu anaficha. Ila take easy, endelea kuangalia atauchuna mpaka lini.
Kaonesha udhaifu wa hali ya juu, nilitegemea kesho yake akushike mkono mkapime, yeye kaona kuuchuna ndio suluhu. Fanya mambo yako hakuna mwanaume hapo.
kama hana matatizo atakuwa kati ya wachache ambao wanaamini kwenye no ngono before marriage,kitendo chako cha kuomba kwenda kutoa mbwa pengine kinamfanya akuone wewe kama kicheche.ktu nlichokua nataka ni kujua tatzo ni nin anambie thats why nliamua kua kimya.Kata mti na panda mti sio vyema ujue
kwahiyo umalaya ndo uanaume?