Ameniboaa! Marafiki wa social network

Sasa povu la nini si ndo kidigitali,

We ukiona mistari humu uanazani malijaaaali, wengine midomo zege!
Yeye anachojuwa ushakubali kifuatacho ITV ni dudu tu!
Na bahati yako ungekubali mgegedo angepizi yeye tu.

Post of the day, Mheshimiwa umenichekesha bila chenga..
 

Let me make long short. Nahisi jamaa hauku mpenda, that's it.
 
kweli ati.... ili wadada wengine wamuepuke. Mimi tangu nilipoitwa Tapeli sina mzuka hata kidogo wa kujuana na mtu humu. Labda wale niliofahamiana nao uraiani then tukajuana id zetu.......
Mkuu,
Hata Preta?.,..au yeye anakuwa kept at standard Temperature and Pressure(STP)
 
Last edited by a moderator:
Alifikiri mambo ni rahisi hivyo mwambie asote kidogo
 
Hahahahaah swahiba watu wengine bana.... sijui kwanini hakumPM wamalizane? Tena na namba za simu anazo angeweza kumpa kubwa tu yaishe.... Vijana wa siku hizi bana!

Ujumbe na kwa wngine wenye tabia hiyo babu!!!!!!!!
 
Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!

Usijali, lakini usije ukanirudisha jamvini kama alivyofanya Latifa kwa .....
 

Ana ipad, ana gari, alikuwa amevaa na single botton?
huyu sio wakishua kweli.....
:behindsofa:
 

Inawezekana alikuta na asiyoyatarajia... Inawezekana hulipi.....
 

heheheeeee!!ndio zao
ukikubali kuonana na mtu
japo mbadilishane mawazo mwenzio
anajua kashaua,ukimpa za uso ndio
usishangae unaanzishiwa na thread kabisaaa!!tabu kweli!!
chezea mitandao ila pole na kiuno kakushika khaaaa!!
 
hahahahahahahaha daaa nimecheka sanaaa kwa huu uzi.
 
Teh teh teh JF bhana! Humu kuna siku kaka na dada au mke na mume watapanga kuonana baada ya kuitana hani za kutosha.
 

heee! Sasa unataka kila sekunde awe busy nawewe kwani yupo kwenye Interview ?
 
aaaa mambo gani haya ya kuanikana humu asee. aaaagh
 
We ulibug,hvi mtu anayeshinda na kukesha jf aweza kuwa potential kwel?wengi ni losers humu watch out usipende kukutana na mijitu usiyoijua,fanya yako jf then sepa
 
Du!
Hiyo ndiyo jf nyuma ya mapazia bana.
Sasa kwanini na wewe umekuja kumchora huku bana?
Halafu mtu anakuita HANI unachukia? Unataka akuite Poison?
Hahha hhahaha daaaah mkuu hapo umetisha labda alikua anataka aitwa salt au pilipili
 
Diuuhh unazali wewe kumbe umefatwa na mchizi na gari, ipad, vipi simu sio iphone 5 kweli hiyo eenhh...?swali la kizushi tu hilo inawezekana amekuona sio maana mim kny dates simu ni silent..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…