Amen to that!!

Natamani aione huyu mmama anajiita Kiria.....!! Wa hivi wanapungua sana siku hizi!!!
huyo unayemtaja anatumiwa na shetani, ni kipaza sauti cha shetani bila hata yeye mwenyewe kujua. na ni watu walioshindwa ndoa sasa imebaki kupambana na mwanaume yeyote anayemtia machoni, na anasambaza sumu nyingi sana kwenye ndoa za watu yeye akifikiri anaponya maisha ya wanawake kumbe anasababisha magomvi na separation kwenye ndoa za watu hadi kusababisha wanawake wanaishi maisha magumu na watoto kutengwa na wazazi kwasababu ya kuwafundisha wanawake wenzie kiburi.
 
Umeongea vyema sana mkuu!!!
 
Kwa authorities tulizopewa na Mwenyezi Mungu, kwa niaba ya wanaume wote namtamkia baraka tele bi dada huyo.[emoji106] [emoji127] [emoji128] [emoji151] [emoji257] [emoji255] [emoji310] [emoji385] [emoji386] [emoji519] [emoji537] [emoji593] [emoji592] [emoji594]
 
AIN'T YOUR MAMA.

a song by Jennifer Lopez
 

Asante sana kwa kulitambua hili.BIG UP.
 
Huyo kwenye picha ni Shemeji yenu nimemwambia aandike hilo bango baada ya kumuona ana-like pages za Joyce Kiria.
Amen.[emoji120] [emoji120]
Kwa hiyo kaliandika na kulishika hilo bango hapo akiwa kwenye shinikizo kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…