M Mzee wa fact JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 247 Reaction score 229 Aug 8, 2021 #1 Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana. Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.
Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana. Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.
44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,159 Reaction score 2,189 Aug 8, 2021 #2 Muulize yeye
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,508 Reaction score 27,811 Aug 8, 2021 #3 Sasa ulitaka ampe la nani we s umejitolea jmn
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,442 Reaction score 34,559 Aug 8, 2021 #4 Imekaa kitaalamu sanaa Hayo Majina tuu
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 16,995 Reaction score 31,813 Aug 8, 2021 #5 Amejiongeza ili utoe zaido huduma au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi.
Amejiongeza ili utoe zaido huduma au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,869 Aug 8, 2021 #6 😄😄😄 ushaingizwa king endelea kuhudumia, gharama za malezi Ni ghali 😄😄😄
M Mzee wa fact JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 247 Reaction score 229 Aug 8, 2021 Thread starter #7 Titicomb said: Amejiongeza ili itie zaido hudima au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi. Click to expand... Apo sasa pwagumu
Titicomb said: Amejiongeza ili itie zaido hudima au usiumie ukikumbuka gharama ulizotumia kumsaidia. Amecheza kama Pelle kwenye saikolojia ya akili yako. Amekujaza vizuri utoe huduma zaidi. Click to expand... Apo sasa pwagumu
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 33,998 Reaction score 51,423 Aug 8, 2021 #8 Shukuru sana
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,073 Reaction score 16,631 Aug 9, 2021 #9 Jiandae kupelekwa ustawi
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,705 Reaction score 4,547 Aug 9, 2021 #10 Ungeuliza which zone am i? Ningejibu she loves you as a friend😂😂😂
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,703 Reaction score 6,796 Aug 9, 2021 #11 Ndio umesha adoptishwa ivo. Hongera kwa kupata mtoto wa kuasili.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,117 Reaction score 110,955 Aug 9, 2021 #12 Ubin wenu una nomino ya kipekee kwamba hakuna watu wengine popote duniani wenye jina la ubin kama wa kwenu?
Ubin wenu una nomino ya kipekee kwamba hakuna watu wengine popote duniani wenye jina la ubin kama wa kwenu?
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,758 Reaction score 45,588 Aug 9, 2021 #13 Baba Junior
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,278 Reaction score 38,112 Aug 9, 2021 #14 Ndo utajua hujui,msomeshe sana ili jina lako lije likuokoe ukizeeka.Maana ndo ushakuwa baba ivo
dem boyz JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 7,405 Reaction score 17,037 Aug 9, 2021 #15 Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea[emoji16]
Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea[emoji16]
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,586 Reaction score 8,973 Aug 9, 2021 #16 Ametumia akili ya kujiongeza.
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,586 Reaction score 8,973 Aug 9, 2021 #17 Baba mwenye mtoto naye akijitokeza itabidi apewe jina la ubini wake pia.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,497 Reaction score 46,533 Aug 9, 2021 #18 Wewe umeridhia au hujui ufanyaje??
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,280 Reaction score 24,079 Aug 9, 2021 #19 Keshakunata.
K Kilemakyaaro JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 5,050 Reaction score 5,118 Aug 9, 2021 #20 Hiyo Kitaalam inaitwa msaada wako haujafika mwisho mtoto ana matumizi mengi