Amemenyewa ila bado ana imani

Amemenyewa ila bado ana imani

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Kuna makabila ya kuyaamini lakini sio mangosha, yaani amemenyewa tena kiustadi mkubwa, uno la kimama mchungaji kiasi kwamba mpaka mtumishi aliyekuwa akizagamuana naye ameshindwa kuendelea kuishi kama kipimo cha kwamba kile alichokuwa anapewa ni kitamu kuliko uhai.

Lakini bwana ndugu kaishia kukata rufaa na kuona bora liende tu. Ni upofu gani huu, na kwa pisi gani palee daaaaah?!

Cc Zero.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ni umaarufu ndo unamtesa lakini mtaani wanaomenyewa na kufanya siri ya ndani ni wengi tu, kama ku holdon ndo itakua imani kwakwe, let it be
 
Tukatafute kwanza msiba wa katibu ulipo, kisha tuje kujadiliana.Huenda katibu yupo hai, hahusiki na hajaandika ila ni moja kati ya michafuano ya kitaasisi.Na masanja atakua kuna analolijua.hivyo mumuombee.
 
Tumuombee sisi waumini wake kweli, mbona akitaka gari asemi tumuombee anasema tumchangie

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuna makabila ya kuyaamini lakini sio mangosha, yaani amemenyewa tena kiustadi mkubwa, uno la kimama mchungaji kiasi kwamba mpaka mtumishi aliyekuwa akizagamuana naye ameshindwa kuendelea kuishi kama kipimo cha kwamba kile alichokuwa anapewa ni kitamu kuliko uhai.

Lakini bwana ndugu kaishia kukata rufaa na kuona bora liende tu. Ni upofu gani huu, na kwa pisi gani palee daaaaah?!

Cc Zero.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Masanja ni mhehe
Sana sana atajinyonga tu
 
Umri wako please!!?
 
Back
Top Bottom