Amelipa mahari milioni 4!

Huyo mdada Jamaa kamkuta Bikra au??
Sio unalipia mahari 4mil then Demu ashatoa mimba za mijamaa hata 10, hajui hata we ni wa ngapi katika awaliokwishampitia na isitoshe hapo alipo ana Michepuko 10 kiboko.
Unalipa mahari 4mil wakati Demu shapeless, akisimama hujui hata mbele wapi na nyuma wapi, uso umekomaa kwa mkorogo huku Miguuni ni mweusi.
 
mh sio bure huyo mwanamke naniliuu yake itakuwa na TV ndani...!!
 
Bint msomi msukuma@ kazuri
 
Bikra sina uhakika cz wao ndio wanajua@ bt kwa ninavyomjua itakuwa bikra kapole SNA hana izo
 
Hata angekuwa bikra mpaka kidole hakipiti, nini uhalisia wa mahari??
Milion 4 si anauzwa huyo!! Mimi sitoi hata nusu yake. Ukiuliza ya kazi gani unaambiwa ni shukurani kwa kumlea binti yao, hapo huwa najiuliza
Je mtu kutenda wajibu wake anastahili shukurani?
 
Kapole sana sidhani km kameanza vitu vya mapenzi@ ni graduate UDSM...amesomea kukaa nyumbani PSPA
Kama tunda halijang'atwa bado, hata hiyo M4 bado ni ndogo sana. Lakini kama wajanja walishang'ata, hiyo ni pesa mingi sana kuitoa aisee.
 
 
Kaka umeamua kuja kunidhalilisha kwenye mtandao? Mahari nimelipa na nishampenda@ sipendi unafki nakuheshimu sana
Ndoa zako2 mbona sikuingilii unaishi nao kidkteta mbna sisemi?
Simaindi aise unaijua kazi yangu jiandae kwa mashambulizi...
Nikweli umempenda
Ila nakula taratibu mke wake
Anaazaia na H
Pole Sana
 
Kaka umeamua kuja kunidhalilisha kwenye mtandao? Mahari nimelipa na nishampenda@ sipendi unafki nakuheshimu sana
Ndoa zako2 mbona sikuingilii unaishi nao kidkteta mbna sisemi?
Simaindi aise unaijua kazi yangu jiandae kwa mashambulizi...
Sitishiki mil4 nyingi sana mkuu@ kuishi na wake2 kunahitaji udikteta unadhania bila hivo wangeishi nyumba1 kirahisi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…