Amekatwa uume

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,944
Simon Shabangu mkazi wa Soweto, Afrika Kusini, amekamatwa na polisi kwa kosa la kumuua mwanaume aliyembaka binti yake wa miaka mitatu. Simon alipomkamata mbakaji huyo alikata uume wake, akaupika na kumlazimisha ale, lakini baada ya muda mbakaji alikufa kutokana na kukatwa uume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah jamaa alimtaka ndugu-mbakaji ale product ake mwnywe.
 
Aisee kumbe kuna binadam zaidi ata ya Scorpion
 
Amemkata kichululuu chake, akaki roast kisha marehemu mbakaji akaambiwa akile

Nikitoa ushahidi mahakamani mbele ya hakimu msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…