Ohooooo....Mimi ni Binti nina miaka 15
Nilishawahi kuishi canada, Australia na uk.
Napenda kuimba nyimbo za justin bieber na chriss brown na kuchati na vijana wa umri wangu.
Hakika hobbies zetu zinafanana.
Mvulana. ..mwanaume hawezi andika hayo uliyotuandikiaMm Ni mwanaume edo
usije kuta alikuwa pia mwanume!Thanks mgesa, nakaza moyo ila dah if alikuw anaigza BC yupo vizuri,
angalia umri wake kwanza ndio ujue umuweke kwenye kundi gani either mwanaume au mvulanaVijana wa siku hizi ni kulia lia tu kuhusu mapenzi,mwanaume halisi halii ikitokea hivyo anapiga moyo konde anasonga mbele.
Subir ifike zamu yakoMhh sisomi but on January ndio naanz college
Mdogo wangu soma kwanza mkuuuu ur determination in life ni kila kituu mkuu achana na emotionHi ,am 18 yrs now,Nina rafiki yangu mtanzania from Canada,.We use to chat with kualezana our strengths and weaknesses.
Alikuw hawezi kukaa 5 mins bila kuchat na mm via Whatsapp .
Ilifika state ambayo ilikuw tukielekea kwenye mahusiano,
Coz alikuw akinitumia nyimbo za Justin bieber ambazo zilikuw zikiexpress feelings zake kwangu,
Lakini now no message no anything
Wakati before nlikuw nikimwambia aniimbie alikuw akiniimbia hadi naridhika moyoni.
Kinachoniuma zaidi ,Ni pale alipokuw akitumia muda wake mwingi kuchat na mm lakini now even salamu hakuna
HOME OF GREAT THINKERS NISAIDIENI NIFANYE NINI
Cio stranger Ni mtoto was SBD from chademaNadhan you should just concentrate on whatever is in your life right now kama shule ... you are too young,mapenzi yako yamejaa tele utayakuta na kuyaacha.
Haya mambo yakufall for someone hata hujawahi kumuona ni very risky..tena mzungu ohoooo... Utakuja kufa,au uka disappear usipatikane ng'ooo...
Kama kwenu kuna Tv na mna king'amuzi cha Azamtv..tafuta channel hii inaitwa Investigation ID(kipindi kinaitwa Web of lies) ...utaelewa.
Haha nkui,Mhhh CAANADA????? angalia isije ukawa unachati na mama yetu Josefin mushumbusi aiseee!
maana naye yupo canada!
Njoo pmHaha nkui,
OK miss chaggajipe miaka mitano utapata jibu
Yanaendelea kijaniKuna wakati watu wanawzaga hamna maisha nje ya kitu walichokizoea hapo ndipo shida ilipo.
pole ndugu maisha yanaendelea with or without her.