Hi ,am 18 yrs now,Nina rafiki yangu mtanzania from Canada,.We use to chat with kualezana our strengths and weaknesses.
Alikuw hawezi kukaa 5 mins bila kuchat na mm via Whatsapp .
Ilifika state ambayo ilikuw tukielekea kwenye mahusiano,
Coz alikuw akinitumia nyimbo za Justin bieber ambazo zilikuw zikiexpress feelings zake kwangu,
Lakini now no message no anything
Wakati before nlikuw nikimwambia aniimbie alikuw akiniimbia hadi naridhika moyoni.
Kinachoniuma zaidi ,Ni pale alipokuw akitumia muda wake mwingi kuchat na mm lakini now even salamu hakuna
HOME OF GREAT THINKERS NISAIDIENI NIFANYE NINI