Bichwa boy
Member
- Jun 4, 2019
- 85
- 90
- Thread starter
- #41
Yeah lakini haupaswi kimuonyesha hilo. Shirikiana nae vyema bila ya kumnyanyapaa. .Lakini huo mkumbo alioufuata una mtoa katika sifa ya kuwa mke bora. ...
ina maana next time mkigombana kidogo then aka kutana na mwanaume akamshawishi kumla 0712 si atakubali! !!so wewe unaona kuwa mwanamke mwenye sifa hiyo ana deserve kuwa mke bora!!! ??Hapaswi kuwa na akili ya kushikiwa
Kaka ni kwel nikichelew habar hizi nawez zisikis bora nibadili gia angani tu niwe nae nafanya yngu hata ikiniuma si kataka mwenyew heshima nliyompa ajakubali
