Amejingiza kwenye tabia za usagaji

Amejingiza kwenye tabia za usagaji

Ana sifa ya kuwa Mkweli binafsi kama ni Mimi sina neno nae hata wakiendelea na nduguye.

Mwanamke akiwa mkweli kwako ni moja ya kukuheshimu, Kama hutaki unaweza kuwa nae ukambadilisha kwa mazungumzo.

Ukienda kwa Mwingine utakutana na jengine pengine kubwa zaidi ya ili na usijue, ila wote walio kuzunguka wakawa wajua.

Matatizo hayakimbiwi Mkuu.
 
Hiyo kitu ni kama kula nyama ya mtu sana sana atakua bisexual tu unamla na akikutana na huyo ndugu yake wanakoboana,ila mkuu threesome inakubeep hiyo usiiache

Tatizo ndio lipo hapo kwenye kuacha lkn kwa maelezo yake wamefanya mara 2, Hahahaa wazo hilo pia nlikuwa nalo nifanye km kuwakomoa alaf nisepe zngu
 
Ana sifa ya kuwa Mkweli binafsi kama ni Mimi sina neno nae hata wakiendelea na nduguye.

Mwanamke akiwa mkweli kwako ni moja ya kukuheshimu, Kama hutaki unaweza kuwa nae ukambadilisha kwa mazungumzo.

Ukienda kwa Mwingine utakutana na jengine pengine kubwa zaidi ya ili na usijue, ila wote walio kuzunguka wakawa wajua.

Matatizo hayakimbiwi Mkuu.

Hapo kwenye ukweli ni mkweli sizani km alishawahi kunificha kitu chake na mana nafikiria kumsamehe nijaribu kumrekebisha uzur kawa muwazi
 
Tafiti zinasema wanawake wakisagana ile proper basi kwa intensity ya pleasure wanayopata ni vigumu sana kuacha..so chekecha akili bro..
 
Muombe SUMAKU tu ndio dawa yake uko. Mbu kwa mbu hawanyonyani damu
 
Pana dalili ya kupata nafasi ya Threesome hapo, Mkuu nafasi ichangamkie hiyo usiilegezee
 
Siamini katika hilo naona kama wamesuka tu mpango anakutishia akili yangu inanituma hvo hamna mjinga wa kutangaza hayo sema nn ww nae kuwa serious kwa nn unamsumbua mdada wa watu
 
Siamini katika hilo naona kama wamesuka tu mpango anakutishia akili yangu inanituma hvo hamna mjinga wa kutangaza hayo sema nn ww nae kuwa serious kwa nn unamsumbua mdada wa watu

Hapan kaniambia mwenyewe na sababu mm nimemtenga na txt zote kanionyesha na kudai bora awe hivyo kuhus mm kumsumbua hapan lazima mwanamke akuone msimamo wako ukiona anazingua unamkaushia kidog umwone lkn ndio imekuw hvyo
 
Tafiti zinasema wanawake wakisagana ile proper basi kwa intensity ya pleasure wanayopata ni vigumu sana kuacha..so chekecha akili bro..

Nitajaribu kumrekebisha nione na kumchunguza kwa mwez 1 inawezekan ajapenda mpk kufikia kuniambia
 
Back
Top Bottom