Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
Katika vitu ambavyo huwa sipendi kuumiza kichwa changu ni kitu kinachoitwa MAPENZI i just go with the flow..Ina maana siku hizi mtu demu wake kumegwa ni kawaida? Halafu inakuwaje demu msomi darasani alikuwa mkali wa kiukweli anashindwa kusimamia alichokubaliana na mwenzie?
kabla ya kuwa "wapenzi" si kuna mahali lazima muanzie?
kabla ya kuwa "wapenzi" si kuna mahali lazima muanzie?
Ni Rafki yangu!!
Ana BBA anafanya kazi kwenye Kampuni mojawapo ya Simu, alipokuwa chuo alifanya engagement na binti wa ukweli, Bright darasani na yuko bomba Physically. Chuo kimeisha demu kaolewa na wenye kuishi kwenye maghorofa ya mikocheni. Huyo jamaa yangu anaishi Kijitonyama Sayansi.
Nimekutana naye msibani kanyongea akaniambia yeye kwenye mambo ya mapenzi ameamua kujikunyata pembeni akiwaangalia wenye Ubavu wakisonga mbele! Siku akipata Vogue ataingia uwanjani kupambana!!
Hilo nalo neno... watu wenyewe wa mjini hawali kande tena ni Burger kwa kwenda mbele!!mwambie a fight sana mambo mazuri yanajipa yenyewe atapata SPORT yake na atawapanga kama magari kwenye foleni hahahaaaa.. mjini sio kuzuri,....!
Kwani siku hizi kuna kuaminiana kwenye mapenzi Lizzy?
Mpe pole sana.
Siku hizi watu wanaongozwa kwa tamaa ya pesa.