The Bastards
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 218
- 348
Udom ni BoraHabari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Kabla ya ushauri, anaenda kusomea nini?Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Managing Director (MD) 🌚Kabla ya ushauri, anaenda kusomea nini?
Namshauri aende UDOM!UDSM kwa kozi ya MD bado sana wanaendelea kujiimarisha ndo mana mwaka juzi walifungiwa na TCU kozi ya MD!UDOM wana mda sasa wanatoa hio kozi na uzuri wana hospitali kubwa sana ya Benjamin mkapa pamoja na za mikoani wanapopeleka wanafunzi wao kusoma kwa vitendo.Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Kwann unamsingizia mdogo wako tena !?Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
In short aende udsm-mchas mbeya kimebase kwenye afya zaidi na hospitali IPO.Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Hahahaha!! Kumbe namsingizia??Kwann unamsingizia mdogo wako tena !?
Sema wew ndio muhusika ,na sio mdogo wakoHahahaha!! Kumbe namsingizia??
Udom ni cha kata asiende kabisaUdom ni Bora
Ongeza nyama mkuu,kwann aende udsm!?UDSM
Ongeza nyama mkuu,kwann aende udsm!?