Amechaguliwa MD UDOM na UDSM aende chuo gani?

The Bastards

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
210
316
Habari za mida wakuu,

Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
 
Cheti cha udsm kitambeba sana katika kusaka scholarships.

Unajua vyeti vya chuo vinabebwa na brand ya university tofauti na vya sekondari..

Mfano Cheti cha havard kina nguvu kuliko cheti cha university of alabama.

Kwenye maswala ya ajira za kimataifa huko mbelembele ama scolarships wanaijua udsm kuliko udom.
 
Habari za mida wakuu,

Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Kabla ya ushauri, anaenda kusomea nini?
 
Habari za mida wakuu,

Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Namshauri aende UDOM!UDSM kwa kozi ya MD bado sana wanaendelea kujiimarisha ndo mana mwaka juzi walifungiwa na TCU kozi ya MD!UDOM wana mda sasa wanatoa hio kozi na uzuri wana hospitali kubwa sana ya Benjamin mkapa pamoja na za mikoani wanapopeleka wanafunzi wao kusoma kwa vitendo.
 
Habari za mida wakuu,

Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
In short aende udsm-mchas mbeya kimebase kwenye afya zaidi na hospitali IPO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom