jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
kufuatia uteuzi wa wabunge anaoufanya kwa mujibu wa sheria, Rais John Pombe Magufuli amebakisha nafasi ngapi za kuteua wabunge?
Inaonekana kama hawaamini wabunge wa ccm ambao kimsingi walipita kwenye chekeche la kinyang'anyiro ndani ya chama kabla ya kupigiwa kura na wananchi.
je mpaka sasa ccm wanacho cha kujivunia kutoka jpm kwa swala la kuaminiana.