Amebadilika baada ya kumpa penzi

Usifanye kitu msubiri tu atakupigia
 
Simple alikuwa anakutamani kimapenzi...

We sio mbaya,we sio kwamba hujui mapenzi,we sio mchafu,We sio kwamba huna mvuto...

Mwanaume akikutamani kingono kakutamani kingono kubadilisha hiyo attitude Ni ngumu sana...

Usipoteze mda wako mama,move on hapo ndo ushagongwa hivo, kaa jipange kwa mahusiano mengine...

Hii game ni ngumu sana kuwa makini mtoto mzuri...

Maneno ya Mwisho makali usijitie kimbelembele kurudi kwake ata ku damage tu,mwishowe ujione kituko....
 
Wewe utakuwa si mtamu (utakuwa regular) [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…