Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Jollie

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
35
Reaction score
65
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
 
Hapo dada haujaelewa au unatuzingua?
Kulikua na gap Kati ya expectation na reality

Nadhani kama haujanielewa najua ni ngumu kuelewa especially somo ambalo halikuhusu

Ila isikufanye ujisikie vibaya kuna mwingine atakuona mtamu na kukupenda
 
Hukumfinyia kwa ndani ndio shida ilipoanzia.

Hayo maeneo yanapokua tofauti na age yako AUTOMATICALY lazma jamaa Atii amri "nyumaaaaaa GEUKAAAA" shap shap shap....harudi ng'ooo.

wadada jitunzeni.

OTHERWISE tutachovya sana ila mboga yenu tutawaachia hapo hapo.
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
Yaliyotarajiwa kuwamo, hayakuwamo!
Ingekuwa yaliyomo, yamo, hadithi ingekuwa stori nyingine
 
Asante kwa Kutuwakilisha Vyema Mzee baba
IMG-20190825-WA0003.jpeg
 
Back
Top Bottom