Ameanza kunichukulia poa

Ameanza kunichukulia poa

Mkuu hapana kwa kweli
kumtongoza ni desturi tu kwa hiyo kama amenikubalia ni jukumu lake kuonesha kweli alinikubalia sio mapenzi ya upande mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa mvumilivu miezi miwili ni michache san naongea kwa experience ishanikuta hii mwanzon mapenz yalikuwa ni ya upande mmoja nikasema ngoja nione nimejipendekeza sana ila sasa hivi yeye ndo anapata shida maana me nilianza kumchukulia wa kawaida tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nnahisi kuna vitu alitaraji kutoka kwangu na hajavipata mpaka sai so kaanza kujitoa taratibu ko mimi kuanza kumuuliza et kwann unajibu sai nadhan ni udhaifu.
Nnavojua girls wakiwa really wanapenda sana kama ambavo amekua akifanya siku kadhaa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unataka ye ajipendekeze kwako siku zote bila kuona kama mnabalance huo ukaribu? Yaan unitongoze miezi miwili mnatextiana tu afu we unataka yeye ndo anakuwa wa kwanza kujipendekeza dah
 
No sweet mbona nimeeleza hapo juu kuwa huwa namtxt ila respond yake imekua kwa kiwango cha chini sana hizi cku
Kwaiyo unataka ye ajipendekeze kwako siku zote bila kuona kama mnabalance huo ukaribu? Yaan unitongoze miezi miwili mnatextiana tu afu we unataka yeye ndo anakuwa wa kwanza kujipendekeza dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitafute msaidizi wa kupambana na maisha!Sijakuelewa mkuu!una maanisha nin?madhara yake ni yapi??nataka kuandika zaidi!naishia hapo!!!
Pengine nitakuwa nimechelewa ila ningependa ujumbe ukufikie. Siku hizi, kwakuwa wengi hawana uhakika na mapenzi/mapendo ya kweli kama yapo kwa wenza wao, huamua kutafuta; kwa mfano, mwanaume anashauriwa asioe golikipa, yaani ni lazima atafute mtu msomi mwenye mwelekeo wa kukusaidia kwenye majukumu ya kulea familia AU mwenye kujishughulisha ingawa wanapendelewa zaidi wasomi....sasa hiki kigezo ndo kinakuwa kinasimamia muunganiko wenu, MSAIDIZI WA KUPAMBANA NA UGUMU WA MAISHA.

Na hapo ndipo ile MANUAL ya mwenye ulimwengu inapokinzana na matakwa ya walimwengu wake.

Fuata wakati, au tengeneza wakati.
 
Back
Top Bottom