Ameanza kunichukulia poa

Ameanza kunichukulia poa

Kuliko kushindana kwenye mahusiano bora mpotezeane kwa amani..
Raha ya mahusiano shobo iwe balanced, sio iegemee kwa mmoja.
Lastly ongea nae kuhusu tabia hii kabla ya kufanya maamuzi magumu

Ushauri konki sana🤛🤛

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuliko kushindana kwenye mahusiano bora mpotezeane kwa amani..
Raha ya mahusiano shobo iwe balanced, sio iegemee kwa mmoja.
Lastly ongea nae kuhusu tabia hii kabla ya kufanya maamuzi magumu
Pale ambapo unatoa ushahur wa mapenz halafu ni single

"I guide others to a treasure I cannot possess "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka mke ambae ana passion na mimi
sio hawa wa mapenzi ya muda kama utamu wa mua

Sent using Jamii Forums mobile app

Miezi miwili ni michache sana kama kweli unatafuta mke kaa nae mueleze tatizo la wanaume wa sasa tunapenda kubembelezwa sana sasa asipo kutext na wewe humtext haya mashindano sio

Kaa nae mwambie kumutengeneza mke bro sio kazi ndogo mfundishe jinsi ya kukupenda apo mwanzo umesema kabisa kutokana na u busy ukawa haupo nae karibu kivile na yeye huenda mawazo yake ni kwamba labda haupo serious kama unampenda mwambie tu mbona siku hiz umechange

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndo nimeanza hapa kapo kanalalamika eti nakakaushia nadhan kalidhani mimi ni yule wa kupiga piga masimu nijue kwanini hakajibu meseji

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila mkuu huyu demu unaonekana unampenda sema ndo vile kujidai nunda hapa ndo wanaume tunapofeli kazi ya mwanaume ni kupenda na kazi mwanamke ni kutii

Ndio maana wewe ndo ulianza kumtongoza ... kutongoza ni nusu ya kujipendekeza so kama ulianza kujipendekeza kwa kuanza kumtongoza why uishie katikati endelea tu mpaka utakapoona basi huyu si wangu saikolojia ya wanawake ndivyo ilivyo anataka kubembelezwa mkuu unafeli wapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiona upande mmoja ndo kama vile unalazimisha mapenzi jiongeze.

N.b wangapi mmehamia AV?
 
Ila mkuu huyu demu unaonekana unampenda sema ndo vile kujidai nunda hapa ndo wanaume tunapofeli kazi ya mwanaume ni kupenda na kazi mwanamke ni kutii

Ndio maana wewe ndo ulianza kumtongoza ... kutongoza ni nusu ya kujipendekeza so kama ulianza kujipendekeza kwa kuanza kumtongoza why uishie katikati endelea tu mpaka utakapoona basi huyu si wangu saikolojia ya wanawake ndivyo ilivyo anataka kubembelezwa mkuu unafeli wapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hapana kwa kweli
kumtongoza ni desturi tu kwa hiyo kama amenikubalia ni jukumu lake kuonesha kweli alinikubalia sio mapenzi ya upande mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom