Ameanza kunichukulia poa

Ameanza kunichukulia poa

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,315
Habari wakuu

Kuna binti mmoja nlianzisha nae mahusiano miezi miwili sasa japo bado sijamla
sababu ya muda wangu kunibana sana ila amekua akionesha upendo upendo flan mkubwa sana

Ila saivi kaanza kitabia unaweza mtxt asubuhi akajibu usiku,mfano sai nnavoandika hii post ndo sms yake inaingia tena kwa salamu ya "Niaje" wakati siku za kadhaa nyuma nlikua naamkiwa tena kwa akipendelea kutumia neno "Mume wangu habari za kazi"

So najiuliza hili kubalance shobo hizi sms zake anazojib usiku wakati sio kwamba yuko busy namimi niwe nazijibu mda gani?

Sihofii kumpoteza maana moyo wangu ushakua wa jiwe.
Note:Mtu asiombe namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kushindana kwenye mahusiano bora mpotezeane kwa amani..
Raha ya mahusiano shobo iwe balanced, sio iegemee kwa mmoja.
Lastly ongea nae kuhusu tabia hii kabla ya kufanya maamuzi magumu
Nnahisi kuna vitu alitaraji kutoka kwangu na hajavipata mpaka sai so kaanza kujitoa taratibu ko mimi kuanza kumuuliza et kwann unajibu sai nadhan ni udhaifu.
Nnavojua girls wakiwa really wanapenda sana kama ambavo amekua akifanya siku kadhaa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshafikia uamuzi wa kuoa? Sio kumuoa huyo binti, ila kuamua kutafuta mwenza wa kuingia nae NDOANI?

Mke hatafutwi..........
Nlipanga kumuoa mwaka huu ila kuna mambo yameingiliana na nilimwambia siku chache nyuma kuwa anivumilie huu mwaka uishe
So labda itakua ndo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nnahisi kuna vitu alitaraji kutoka kwangu na hajavipata mpaka sai so kaanza kujitoa taratibu ko mimi kuanza kumuuliza et kwann unajibu sai nadhan ni udhaifu.
Nnavojua girls wakiwa really wanapenda sana kama ambavo amekua akifanya siku kadhaa nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu gals hadi kuwa na mategemeo ya vitu fulani kwako ni kutokana na jinsi ulivyoanza nae
Siku nyingine ukiwa unatafuta mpenzi muonyeshe upande wako mbaya uone kama atakuelewa hivo hivo. Usitumie nguvu sana ili kumfanya mtu abaki maishani mwako
 
Kaka huwez amini sijaigiza chochote kwake labda kwa muonekano wangu alihisi ntakua namtega labda napesa nyingi sana afu siku zinaenda anaona hafanyiwi suprise ya iphone x

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlipanga kumuoa mwaka huu ila kuna mambo yameingiliana na nilimwambia siku chache nyuma kuwa anivumilie huu mwaka uishe
So labda itakua ndo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimalizie hiyo sentensi ya mwisho.

Mke hatafutwi siku hizi, mke anatengenezwa. Kuna mengi hawa viumbe wanapitia kuanzia umri wa miaka 13 mpaka 25, hapa ndipo anapochora picha ya mahusiano ya kimapenzi ni nini, mwanaume ana nafasi gani kwenye maisha yake ya kila siku, uzoefu wake utamsaidiaje kwanye kupambana na wanaume(Kila mwanaume baada ya yule wa kwanza kwake ni mwanaume tu).

Mwanamke anafundishwa kupenda, anakinai kupendwa, anapenda kutendwa.

Kila la kheri.
 
Kwa kutambua hilo kwamba hawa viumbe hawapendi kupendwa ndo maana nataka nimuoneshe kwamba i dont fear to loose her
simjibu mpaka kesho asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu

Kuna binti mmoja nlianzisha nae mahusiano miezi miwili sasa japo bado sijamla
sababu ya muda wangu kunibana sana ila amekua akionesha upendo upendo flan mkubwa sana

Ila saivi kaanza kitabia unaweza mtxt asubuhi akajibu usiku,mfano sai nnavoandika hii post ndo sms yake inaingia tena kwa salamu ya "Niaje" wakati siku za kadhaa nyuma nlikua naamkiwa tena kwa akipendelea kutumia neno "Mume wangu habari za kazi"

So najiuliza hili kubalance shobo hizi sms zake anazojib usiku wakati sio kwamba yuko busy namimi niwe nazijibu mda gani?

Sihofii kumpoteza maana moyo wangu ushakua wa jiwe.
Note:Mtu asiombe namba

Sent using Jamii Forums mobile app
ongeza shobo zaidi, atabalance tu na yeye.....ukimpotezea utampoteza kabisa
 
Ngoja nimalizie hiyo sentensi ya mwisho.

Mke hatafutwi siku hizi, mke anatengenezwa. Kuna mengi hawa viumbe wanapitia kuanzia umri wa miaka 13 mpaka 25, hapa ndipo anapochora picha ya mahusiano ya kimapenzi ni nini, mwanaume ana nafasi gani kwenye maisha yake ya kila siku, uzoefu wake utamsaidiaje kwanye kupambana na wanaume(Kila mwanaume baada ya yule wa kwanza kwake ni mwanaume tu).

Mwanamke anafundishwa kupenda, anakinai kupendwa, anapenda kutendwa.

Kila la kheri.
huu uzi ni noma
 
Kwa kutambua hilo kwamba hawa viumbe hawapendi kupendwa ndo maana nataka nimuoneshe kwamba i dont fear to loose her
simjibu mpaka kesho asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani utajali moyo wako zaidi!

Ni rahisi tu, jiandae kuwa mwanaume mwanababa; na ili kufikia hapo, unapaswa kuanza kumtengeneza mke mtarajiwa, na hiyo ni pamoja na ku-SACRIFE vigezo na masharti yako.

ONYO: Tafuta mke, andaa mke....usitafute msaidizi wa kupambana na maisha.
 
Nataka mke ambae ana passion na mimi
sio hawa wa mapenzi ya muda kama utamu wa mua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom