Mshukuru Mungujamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa akaanza kupunguza uhusiano wetu mpaka sasa amesema tuachane
nifanyeje na ninampenda na sina mtu mwingine kwani nilimtegemea yeye?
Kusoma hujui, napicha nayo huoni!!!jamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa akaanza kupunguza uhusiano wetu mpaka sasa amesema tuachane

nifanyeje na ninampenda na sina mtu mwingine kwani nilimtegemea yeye?

Acha kuumiza kichwa chako kwa mtu asiekupenda mkuu...achana nae na tafuta akupendae kwa dhati.

jamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa akaanza kupunguza uhusiano wetu mpaka sasa amesema tuachane

nifanyeje na ninampenda na sina mtu mwingine kwani nilimtegemea yeye?