Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Wadau kuna jamaa yangu anaacha kazi this week ameamua awe busy na kilimo sasa je anaweza kupata hela zake za PPF au ndio wamezuia? Amejiunga kama mwaka mmoja uliopita
Inachukua muda gani?awe na barua ya kuacha kazi tu
Hatapewa PPF ni rasmi wamesitisha na mifuko yote itafuatia ni taarifa rasmi ninazo kutola mfuko wa PPF
HESLB wameanza lini kulink na mifuko ya jamii kuwapata wadaiwa?....sidhani kama hyo ipo au wamaanisha nini?HESLB, atachezea mikononi mwa hao raia