mnyakyusa,he's 30 now nafikiri,mwanafunzi wa uhasibu T.I.A Mbeya Campus,Diploma.maskani kwa sasa Mbeya na Dar.hajaoa,pia ni mfanyabiashara wa samani.
kwa kifupi ni hayo tu
Nguvu ya msamaha uwa inanifanya nitafakari sana ni wimbo wenye kutia simanzi
Upendo wa kweli yani huu wimbo unanibarikia
Kuaminiwa na Mungu huu wimbo ndiyo uwa unanifanya nitamani kuokoka ila kila nikijaribu shetani ananizidi speed
Karibu yesu huu wimbo wa kuabudu unagusa sana moyo wangu
Zaidi ya nyimbo zake gospel ninayoskiliza ni Mungu yupo, amba yawe na sayuni za mzee wa upako baaasi