Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
mpaka wafike hospital mgonja kafa
awepo basi wa kumzalishana kama anaumwa uchungu atazaa njiani..
Mgonjwa hatokufa kaka hiyo kitu ni 120 kwa saa.mpaka wafike hospital mgonjwa kafa
Halafu mtoto jina lake ataitwa "NJIANI"Na kama anaumwa uchungu atazaa njiani..
Itabidi tuangalie mchakato wa kuwa na Nesi kwenye Ambulance yetu hii.awepo basi wa kumzalisha
hahahah wewe unadhani ni picha duka?Hivi hii ni kweli????
awepo basi wa kumzalisha
ni kweli kabisa ulisemalo.Kama ambulance iko hivyo basi hospital yenyewe itakuwa ni majanga!
ambulance + majanga = kifo, tobaaaaaahKama ambulance iko hivyo basi hospital yenyewe itakuwa ni majanga!
ikiwapeleka wagonjwa hospitali.
Nalog off
mkuu, huyu alietengeneza hii nitampa (div 1) kwa sababu ametatua matatizo yanayawakabili (innovative thinking).
1. This could also been used as a mobile hospital (kama wakiwekeza kwenye vifaa vya matibabu huitaji speed kumuwahisha mgonjwa hospitalini)
2. Haitumii mafuta ya aina yoyote (petrol, diesel n.k)
3. Inapita maeneo ambayo gari inaweza kutoika.
4. Haiitaji skiled driver
5. Utengenezaji wake ni rahisi
do i need to say more mkuu? Sio yule mbulula alievunja makabati jikoni kwake na kujenga body ya gari eti unasema tumsupport kha! Mke wake zalima ammtoe bandama! Lol
ambulance + majanga = kifo, tobaaaaaah
ikiwapeleka wagonjwa hospitali.
Nalog off
ahahahahh ukajikuta katika hali mbaya zaidi ufikapoa hospitali.Unaweza ongeza Ugonjwa mwingine hapo!!
ni kweli mkuu hii imekaa vizuri yule jamaa wa mbao kafeli hakuna kumchangia wala nini labda akajiulize tena kwa mara ya pili na aje na kitu kipya.Mkuu, Huyu alietengeneza hii nitampa (Div 1) kwa sababu ametatua matatizo yanayawakabili (innovative thinking).
1. This could also been used as a Mobile hospital (kama wakiwekeza kwenye vifaa vya matibabu huitaji speed kumuwahisha mgonjwa hospitalini)
2. Haitumii mafuta ya aina yoyote (Petrol, Diesel n.k)
3. Inapita maeneo ambayo gari inaweza kutoika.
4. Haiitaji Skiled driver
5. utengenezaji wake ni rahisi
Do I need to say more mkuu? Sio yule Mbulula alievunja makabati jikoni kwake na kujenga body ya gari eti unasema tumsupport Kha! Mke wake zalima ammtoe bandama! Lol