Ambulance ya halisi ya Mtanzania

Ambulance ya halisi ya Mtanzania

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
970375_526473954080864_1928147127_n.jpg


374232_526478817413711_28508103_n.jpg


Ndo hivyo 2005 tuli ahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania, yamekuwa ndoto za alinacha wao wanaruka anga kwa anga wanabadilisha ndege kama nguo kila kukicha, malipo hapa hapa duniani.
 
Ina sikitisha karne ya fesibuku????
 
Nani kwakwambia malipo hapa hapa duniani...we unategemea baba Rizwan apate malipo hapa hapa baada ya kustaafu...labda kama si tanzania.
 
Hali mbaya kwa kweli,wao wanatenga pesa za kuzikana
 
Na hizi zipo kwenye ofisi nyingi za waganga wakuu wa wilaya(district medical officers) na hata ukienda kwenye baadhi ya vituo vya afya utakuta zinapigwa vumbi tu.
 

Attachments

  • 2013-04-02 15.01.56.jpg
    2013-04-02 15.01.56.jpg
    328.6 KB · Views: 62
Back
Top Bottom