Ambulance ya Godbless Lema yawasili

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Hatimaye Ambulance moja kati ya mbili za Mbunge wa Arusha Mjini kwa watu wake kama alivyowahi kuahidi imewasili Jijini Arusha baada ya kukwama bandarini kwa muda mrefu kwa masuala ya ushuru.

Ni rahisi kwa Serikali yetu kuexempt ushuru wa maV8 ya anasa za viongozi lakini watakomalia Ambulance kama hii... Labda kwa vile wahusika ni Team UKAWA.. Sijui?
 

Attachments

  • 11403506_10207533267436114_6645108107243562235_n.jpg
    30.2 KB · Views: 4,355
  • 10423952_10207533268156132_8749361901547443737_n.jpg
    76.3 KB · Views: 3,579
  • 11241944_10207533268796148_2843988689447938006_n.jpg
    63.8 KB · Views: 4,036
...wakung'ute tu lema...
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.
 

Mbona povu linakutoka ovyo?
 

.............Rotten mind.............

BACK TANGANYIKA
 
Safi sana kamanda lema Kwa kuwajali wananchi Wa jimbo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…