Elections 2010 Ambulance kwa wagombea urais ni muhimu wakati wa kuhesabu kura

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Kwa kweli sitanii, namaanisha kuwa suala la kuwa na ambulance karibu na wagombea urais ni muhimu kwani matokeo yakitolewa ya kweli yatashtusha mno.
 
mimi sina wasiwasi na dk slaa ila yule mwenye ugonjwa wa kuangukaanguka bila sababu kwa kweli nina waswasi sana na afya yake maana kunaa hatihati ya mtu kupoteza maisha kabisaaaaaaa badala ya kuzimia
 
Back
Top Bottom