Hapa kwetu wafanye hivyo kama hawajaishia kutekwaPichani: Balozi wa Marekani nchini Rwanda Peter Vrooman kabla, wakati na baada mashindano alipokua. Na sisi tujifunze kuwashirikisha wanadiplomasia wa kimataifa walioko nchini inasaidia kuijitangaza kimataifa. View attachment 961831View attachment 961834View attachment 961835
Aaah wapo mbaaali sana japo wanapenda hela zaa UtaliiNa Viongozi wetu inabidi wawe wabunifu zaidi.
Acha mawazo potofu kwani mahiga hafanyi kazi?hapo ndo umuhimu wa membe unapokuja.
Usalama upo tena wa kurosha kabisa kabisa sema uhuru wa utawala ndio unaochangia kwa wageni wanakuwa na hofuNdo tatizo letu hatuna usalama wa kuaminika kimataifa.
Kila nikikumbuka Kigwangwala akiwa Naibu waziri wa Afya akawahi getini pale Wizarani akawafungia nje wafanyakazi wachelewaji nacheka sanna aisee.Aaah wapo mbaaali sana japo wanapenda hela zaa Utalii
Anapenda sana sifa za kijingaKila nikikumbuka Kigwangwala akiwa Naibu waziri wa Afya akawahi getini pale Wizarani akawafungia nje wafanyakazi wachelewaji nacheka sanna aisee.
Sasa ndio waziri wa utalii ngoja tusubiri ubunifu wake hahah.
Ila mzee baba anaonekana anamkubali,awe creative huko wizarani.Anapenda sana sifa za kijinga
Amejisahau sana mkuu, kumbuka kauli aliyoitoa kwa wasomi nchini, anadhani amefanikiwa sana japo maisha hayapo ivyo, then pia ninawasiwasi na reasoning yakeIla mzee baba anaonekana anamkubali,awe creative huko wizarani.
Jamaa naona hua kama kichwa yake inafyatuka hivi alishaongea pumba khs wasomi,juzi kaongea upuuzi khs mafao ya wazee.Amejisahau sana mkuu, kumbuka kauli aliyoitoa kwa wasomi nchini, anadhani amefanikiwa sana japo maisha hayapo ivyo, then pia ninawasiwasi na reasoning yake
HajitambuiJamaa naona hua kama kichwa yake inafyatuka hivi alishaongea pumba khs wasomi,juzi kaongea upuuzi khs mafao ya wazee.
Hakuna kitu pale.