Ambao mmefanikiwa kutuma maombi ya Ualimu

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,665
12,235
Kwa yeyote aliefanikiwa kutuma maombia http://ajira.tamisemi.go.tz/ naomba utuwekee hapa mbinu ulizotumia.

Tuainishie browser uliyotumia...mtandao wa simu na muda au au tuwekee mbinu yoyote mbadala ya kufanya maombi kwa haraka.

Mimi kwangu inagoma kabisa.

Capture.PNG


Tokea asubuhi sijafanya chochote inagomea hapo, kama inavyojionyesha pichani.

kwa mliofanikiwa tupeane mbinu.
 
Mtandao utakuwa overloaded maana watumiaji ni wengi mno leo jitahidi kujaribu pengine itafunguka au fanya application usiku wa manane.​
 
Back
Top Bottom