S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Sep 28, 2014 #21 mwanga lutila said: Kula UNLIKE Click to expand... Aaa mkuu unaniangusha bana, mi nakugongea LIKE wewe unanipa UNLIKE!
mwanga lutila said: Kula UNLIKE Click to expand... Aaa mkuu unaniangusha bana, mi nakugongea LIKE wewe unanipa UNLIKE!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Sep 28, 2014 #22 mwanga lutila said: Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE. Click to expand... Download JF App itatatua hilo tatizo na mengine mengi
mwanga lutila said: Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE. Click to expand... Download JF App itatatua hilo tatizo na mengine mengi
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Sep 28, 2014 #23 mwanga lutila said: Huwa Inanisumbua Sana Kwenye Ku Reply Click to expand... Mhhhhh sasa naanza kupata wasiwasi na simu yako
mwanga lutila said: Huwa Inanisumbua Sana Kwenye Ku Reply Click to expand... Mhhhhh sasa naanza kupata wasiwasi na simu yako
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 28, 2014 #24 sawa ....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Sep 28, 2014 #25 kabanga said: sawa .... Click to expand... kabanga unazikondesha mno replies zako mpaka zinatia huruma! Ni maisha magumu au ni ubahili? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: sawa .... Click to expand... kabanga unazikondesha mno replies zako mpaka zinatia huruma! Ni maisha magumu au ni ubahili?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,009 Sep 28, 2014 #26 miss neddy said: mi ninayo jf app ila napenda kutumia zaidi opera min Click to expand... app natumia kuangalia video tu ila mwenyewe natumia wapsite
miss neddy said: mi ninayo jf app ila napenda kutumia zaidi opera min Click to expand... app natumia kuangalia video tu ila mwenyewe natumia wapsite
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 29, 2014 #27 mshana jr said: kabanga unazikondesha mno replies zako mpaka zinatia huruma! Ni maisha magumu au ni ubahili? Click to expand... mshana jr, nitaanza kuandika sasa, tena sana, wajua muda mwingine niko road sasa..... sio mbaya wacha nibadilike sasa! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: kabanga unazikondesha mno replies zako mpaka zinatia huruma! Ni maisha magumu au ni ubahili? Click to expand... mshana jr, nitaanza kuandika sasa, tena sana, wajua muda mwingine niko road sasa..... sio mbaya wacha nibadilike sasa!