Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,275


Teh..Akili za kuambiwa..
Mkuu... gari unajua kuendesha??
Very simple mkuu, fanya kazi ila weka akiba tena kwa kijilazimisha. Mfano kila mwezi ukiweka let say laki tano kama akiba unafika mbali sana


Story ya kumuona huyo dada na gari mbona sijaielewa.
Nimecheka mpk basi
Tulia mkuu, soma kwa makini![]()
Ukishindwa kuendesha gari basi muendeshe hata mkeo..
Mm ata mgongo wa churaili mradi nikalie matako tu
Sina mama kama unalo ukija dar unipe liftShoga angu huna gari weyee
Sina mama kama unalo ukija dar unipe lift


Nimesoma sijaelewa. Sijajua kama umemtamani dada au umetamani gari ?
Kama umemtamani dada si ungemwambia tu. Kama umetamani gari inakuaje nguo za dada zinakutisha![]()
![]()
![]()
![]()