BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,010
HIZO GENERATOR MKUU MIEZI MINNE UNAPAKI WAENDE KUOMBEWAkwa hali ya sasa gari sio issue sana labda kama haufanyi kazi gari zipo mpk za milion 2
HIZO GENERATOR MKUU MIEZI MINNE UNAPAKI WAENDE KUOMBEWAkwa hali ya sasa gari sio issue sana labda kama haufanyi kazi gari zipo mpk za milion 2
Haya, kazi kwenu msio na magari.
Kuna jirani yangu anauza hii gari kwa beo nafuu kabisa...View attachment 1165346

Mkuu kuna uzi niliwahi leta hapa jinsi ya kupata gari kwa mkopo. Mimi kama mimi nilikwama japo nilipata watu ila walikuwa na masharti. Ila nilikomaa na baadae nilinunua gari mbili. Kwa sasa naweza nunua gari nilitakalo bila kukopa (ila namaanisha hizi gari za Toyota)
Ukoo wangu wote aliyewahi kumiliki gari ni mtoto wa nje wa marehemu babu (ba mkubwa) alikua ana mark 2 grande aliinunua baada ya kustaafu.


Ukishindwa kuendesha gari basi muendeshe hata mkeo..
Tumetofautiana vipaumbele!
Mkuu uko serious!?
Teh..Akili za kuambiwa..Mkuu huitakii mema ndoa yangu![]()
Mkuu nipe nami huo mchongo![]()
Uninunulie na mm eenh![]()
Nimecheka mpk basiUkishindwa kuendesha gari basi muendeshe hata mkeo..
Mm ata mgongo wa churaili mradi nikalie matako tu





