Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Hii imetokea huko sauzi
AMBAKA BIBI YAKE
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 amekamatwa na polisi kwa kosa la kumbaka bibi yake mwenye umri wa miaka77 huko Mhlava Cross Tzaneen Limpop. polisi wanasema kwamba kijana huyo alikwenda kumtembelea bibi yake weekend na kumkuta amekaa kibarazani,alim
nyanyua kwa kumpiga roba ya shingo kwa nyuma huku akimburuza mpaka ndani na kumbaka kisha akatoweka. polisi walifanikiwa kumpata baada ya msako mkali tangu juzi jumapili wiki iliyoisha... My take: Vijana wa siku hizi hawana adabu na hii ni kutokana na malezi ya kidijitali wanayoyapata kwa wazazi wao. Tujitahidi kuwalea vijana wetu katika misingi ya kidini na upendo.
hawezi kufungwa maisha cz hajafikisha 18yrskafungwe maisha tu
Alienda kumtembelea then shetani akampitia.Nlienda kumtembelea au nlienda kumbaki..??au alimkuta nakaa vibaya kibalazani dhana ya kumtembelea ikabadilika!
si mchezo halaf kibibi chenyewe miaka77Duh....Jamaa amemnyanyua kwa roba aisee hii noma sana
Apimwe akili inawezekana ni psychiatric case hii. Bibi mtoto wa miaka 15 si angewaza kufanya mazoezi ya mpira zaidi tupate wakina Mbwana Samatta wengine jamani.Hii imetokea huko sauzi
AMBAKA BIBI YAKE
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 15 amekamatwa na polisi kwa kosa la kumbaka bibi yake mwenye umri wa miaka77 huko Mhlava Cross Tzaneen Limpop.
Polisi wanasema kwamba kijana huyo alikwenda kumtembelea bibi yake weekend na kumkuta amekaa kibarazani,alimnyanyua kwa kumpiga roba ya shingo kwa nyuma huku akimburuza mpaka ndani na kumbaka kisha akatoweka. polisi walifanikiwa kumpata baada ya msako mkali tangu juzi jumapili wiki iliyoisha.
My take: Vijana wa siku hizi hawana adabu na hii ni kutokana na malezi ya kidijitali wanayoyapata kwa wazazi wao. Tujitahidi kuwalea vijana wetu katika misingi ya kidini na upendo.
Mbona hiyo imetokea nje ya bongo?au chadema wanakupa mchecheto sana?Huyu kijana atakuwa ni chadema