Chali wa Moshi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 258
- 61
Kitu ambacho C.C.M na watu wao hawafahamu ni kwamba, kwa sasa waTanzania wanachotaka ni mabadiliko tuu, haijalishi ninani ambaye atayaleta, kwaiyo hata kama ni Membe au Wassira angekuwa UKAWA, angeshinda tuu kwasababu watanzania wanachotaka ni kuweka serikali nyingine madarakani, haijalishi ni nani ataiyongoza hiyo serikali. Sasa wao kupoteza muda kumshambulia Lowassa majukwaani ni sawa na bure kwasababu hawajaelewa target ya watanzania ni nini.
My take, serikali sio kama wazazi wako ambao hata kama wakikukose huwezi kuwakataa, bali serikali ni kama nguo, inapo chakaa lazima utanunua nyingine tuu, NO MATTER WHAT!
kwa saa, tunataka kununua nguo nyingine! hii ya sasa imeshachakaa sana mpaka majirani wenzetu wanatushangaa kwa nini bado tunavaa nguo ile, ile kwa nusu karne sasa na wakati imeshachakaa.
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.

huna akili na hujitambui kwako wewe chadema sio chama na ilani inayosambazwa kwako ni kipeperushi dharau za kufanya nchi ni ya CCM ndio imewafika hapa munazomewa munaendesha kampeni kwa gharama kubwa sana lazima mununue kanga malori na vihela vya kuwapa wanafunzi kujaza mikutano ya CCM bila ally kiba diamond wema hakuna anayekaribia mikutano yenu poleniUshabiki mwingine hadi aibu kuujibu! Watanzania ambao wanaowaza kama wewe ni wapi Bosi? Ninachojua propaganda hizi ni planned na baadhi ya watu wananufaika kwa kueneza haya. Unadhani hao wanaosema watamfuata ENL popote alipo wanapenda chochote UKIWANI huko? Unadhani wanaamini ktk katiba ya wananchi kwa dhati?
Ukiondoa watu wanaotaka ENL awe rais kwa gharama zozote hakuna atakayekwambia yupo tayari nchi itawaliwe hovyo hovyo bila Ilani wala chama kinachoeleweka eti kisa SISI waondoke. Wewe? Tumechanganyikiwa sana kwa tuliyofanyiwa na SISI lkn si wengi sana tulioamua kujizira kwa ushabiki mbumbumbu kama ishara ya kukata tamaa!
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.
Mabadiliko yepi mnaongelea? Ya kumweka mlutheri madarakani? Funguka.
Hata hayo pia ni mabadiliko!