Mfungwa kukamatwa na simu anapelekwa Polisi? hivyo ni vitu vilivyopigwa marufuku mfungwa kuwa navyo kama sigara ,bangi,kisu redio nk. na kila kukicha wafungwa wanakamatwa navyo na kupewa adhabu za kigereza.
sasa iweje Lyumba akamatwe na simu gerezani kisha akahojiwe Polisi? KUNA JAMBO JINGINE ZAIDI YA HILO.