Amatus Liyumba akamatwa na simu gerezani

peacebm

Member
Jan 31, 2010
57
9
yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi Sitakishari Ukonga
source Wapo Radio Patapata

<br /

<br Huyu anastahili awekwe pc(atengwe kwenye chumba mahalumu kwa uangalizi zaidi) anataka atoke akafanye nini uraiani? Embu atulie huko awasubiri wakina rostam.

Mfungwa kukamatwa na simu anapelekwa Polisi? hivyo ni vitu vilivyopigwa marufuku mfungwa kuwa navyo kama sigara ,bangi,kisu redio nk. na kila kukicha wafungwa wanakamatwa navyo na kupewa adhabu za kigereza.
sasa iweje Lyumba akamatwe na simu gerezani kisha akahojiwe Polisi? KUNA JAMBO JINGINE ZAIDI YA HILO.

na hiyo simu aliipataje? wanaotakiwa kubanwa ni walinzi.............

kwa mujibu wa watu waliowah kuwa jela,nimewah kuwasikia wanasema jela huwa wanapata kila kitu,na kuna biashara ya kila aina,si jambo la ajabu kabisaaa kuwa na simu

Wana JF,

Nasikia pia Rais wetu yuko kwenye list ya watu waliokuwa wakipigiwa??? If so the Case Rais kashindwa kuitunza na kuitetea katiba ya nchi.

Kama mtu anaongea na simu au kuwa na simu kwa gereza anatakiwa kuwe na issue kubwa sana au akaongelee yale masimu ya kizamani huku nao gerezani wanasikia munacho kiongea.

My Take:

Nchi hii mumeifanya kama shamba la bibi kila kukicha ni viloja na vitimbi full full esp kwa hawa viongozi wetu wa juu kwa kukiuka katba ya jamuhuri ya muungano kwa ajiri ya interest zao wenyewe

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom