Wakitaka amani iwepo watende haki lakini wanachokiona viongozi wote ni wanafiki wa kutupa , Hivi unasnzisha jeshi la akiba unataka nini au unalenga kitu gani? Hili li mama nalo eti Askari akilenga risasi tatu akamkosa mtu atawajibu ndii kuleta amani uko , CCM sio wazima upstairs.