Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Hahahaaaa duhHapo ndio utajua tofauti Kati ya mkojo na maji
Yaani hizi kazi mmmmmhSimpatii picha huyo guide na wageni wake muda huo!
Siku zote ni neema za Mungu tu.Yaani hizi kazi mmmmmh
Hawezi kuharibu vioo?Hapo we zima gari yako tulia, atapiga mkwara wake hapo kwa muda mwishowe ataishia zake
MwehBora huyo kuliko huyu
Hawezi hata kuligusa, yy mwenyewe analiogopa hilo gari, atapiga mkwara, mwisho anaishia zakeHawezi kuharibu vioo?
Ooookk kumbeHawezi hata kuligusa, yy mwenyewe analiogopa hilo gari, atapiga mkwara, mwisho anaishia zake