Amani imetoweka kwenye ndoa yangu kisa kukosa mtoto

Pole sana Shemeji
Unafanya kazi wapi?
Nina sababu za kukuuliza hili tatizo alishawahi kupata Dada yangu......

Pili kama unaamini dawa za miti shamba ni vyema ukatumia
Miaka 3 ni mingi sana aisee na nyie huwa ni lile group ambalo ukipata ujauzito hutakiwi utumie baadhi ya dawa hospitali kwa sababu ukitumia tu ujauzito unaharibika....

Pole sana tibu tatizo maana kitakachokuja kutoka kwa ndugu wa mume ni kikubwa na kitakuliza sana
 
Unafanana na Ramla mke wa Rajabu story yako,ila yeye Rajabu ameoa mke wa pili juzijuzi tu..
Pole sana
 
Pole sana Shemeji
Unafanya kazi wapi?
Nina sababu za kukuuliza hili tatizo alishawahi kupata Dada yangu......

Pili kama unaamini dawa za miti shamba ni vyema ukatumia
Miaka 3 ni mingi sana aisee na nyie huwa ni lile group ambalo ukipata ujauzito hutakiwi utumie baadhi ya dawa hospitali kwa sababu ukitumia tu ujauzito unaharibika....

Pole sana tibu tatizo maana kitakachokuja kutoka kwa ndugu wa mume ni kikubwa na kitakuliza sana
Mkuu sifanyi kazi ngum zile za kutumia nguvu hapan
 
Usijali mdada from 2015 ni miaka miwili tu,nabii ibrahim na mkewe walipata mtoto wakiwa tayar wazee.kuwa na subra na tembelea ffertility clinic wakupe ushauri zaidi.kama uliweza kupata miscarriege basi uwezekano wa kupata mtoto upo mkubwa kama alivyokwambia daktari wako.
Dumu katika ibada,mlilie mungu wako na atasikia dua zako.na hata ikitokea ukakosa basi ni mpango wa alekuumba so usijipe stress dada.
Kuhusu maneno ya ndugu wa mume ni kawaida hasa kwa familia za kiswahili zi zisizo na imani ya mungu.ongea na mumeo awaambie nduguzo waaache kukugasi hukuolewa kuwa mtambo wa kufyatua watoto.waswahili wanasema ndoa ni sheria,kuzaa majaliwa.wasalam
 
Shukraan inshaallah kwa maneno yako mazuri
 
Naomben ushauri wenu wa mawazo wapendwa maan nipo katk kipindi kigumu sana. Nimeolewa takiban huu hi mwaka wa tatu sasa natimiza kwenye ndoa niliolewa 2015

Mwaka ule ule niliofunga ndoa nilifanikiwa kubeba ujauzito pasi na mim mwenyewe kujua kama ni mjamzito sema kun dalili nilikuwa nasikia nikimwambia mume wangu anasema huenda ikawa Malaria basi na mimi sikukitilia mkazo sana

Siku hiyo niko na shughuli zangu za nyumbani nikaona nimepata period ya ghafla na Tumbo likiuma sana yaan mpk nikashawishika kumwambia mume wangu ile hali yangu nayojisikia
Ikabidi tuende hospital baada ya kufika hospital dokta akanifanyia utra sound ndipo aliponipa majibu haya kuwa nimepata miscarriage akanipa dawa za kutumia akanambia sina tatizo.
Nikamuuliza naweza pata mimba nyengine akanambia inawezekana ten bila tatizo ila hakikisha unameza dawa
Basi tiba nikaimaliza yote kama dokta alivyonielekeza lakini pinde ikaja hapa kila nikijaribu kutafuta mtoto kwa mara nyengine inashindikan sijawahi fanikiwa mpaka hii leo navyoandika hap sina amani ndugu wa mume wangu wameanza kunitolea maneno mabaya jamani nateseka sana mwenye uwezo wa kunisaidia jamni na afanye hivyo

Naombeni jamani mwenye kuweza kunisaidia ktk hili nitashukuru san nivumilieni kwa huu uandishi mbaya nahitaji msaada mnoo sitak kejeli wala matusi jamani nachohitaji ni msaada wapendwa maana maji yameshanifika shingoni
Uko wapi?kama upon dar nweza kukuombea update mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom