Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Wewe ni muona mbali na kweli yako imekuweka huru
Imeharibu sana vijana wetu hasa wa bavicha kwkweli ni janga sugu la wazawa.Gongo sio nzuri jamani
Wewe ni muona mbali na kweli yako imekuweka huru
Hukuwa na haja ya kufanya utafiti. Ni sawa na mtu aliyezaliwa me aende kufanya utafiti kama ye ni me. Samahanini kwa huo mfano wangu, lakini namaanisha kuwa, CDM ndiyo Maarufu si mtu. Ukijiondoa au kuondolewa kwenye ule umaarufu anabaki debe tupu lenye lebo tu. Mali ni cdm. Ndo maana watu wanatofautishwa na hivyo vyama vingine. Chadema imo mioyoni mwa watu. Hata wanaojaribu kuiudhi CDM wanafika mahali mioyo inawasuta wana changanyikiwa.
Gongo sio nzuri jamani
Chadema haina watu ila inabeba kikundi furani cha walaghai kinachofanya biashara ya kisiasa na kulaghai watu.
Imeharibu sana vijana wetu hasa wa bavicha kwkweli ni janga sugu la wazawa.
Chadema haina watu ila inabeba kikundi furani cha walaghai kinachofanya biashara ya kisiasa na kulaghai watu.
Hao watu waliotoka halafu wakawa hawsikiki ni wanani? Taja kama kitila mimi nilikuwa simjuwi ila nilikuja kumjuwa baada ya ugonvi na viongozi ma dicteta wapenda madaraka wa cdm kama wewe unamlenga zito uliza zito bado yupo juuuu na anapendwa vibaya ndio mana bado anawaumiza kichwa kila siku kajipange tena nyambafu utaenda jahanam
Mwingine huyu..

hahahahaha hahaha hapa bila shaka utakuwa una muongelea yule mchumia tumbo toka kigoma.