Ama kweli wingi haukidhi haja

Financial freedom ndiyo ukiipata kupata mke rahisi mno km kinywa,maji.
 
Waoaji/waolewaji mnayoyatenda sio mnayoyatangaza kwa lugha fupi hamna umaterial wowote zaidi ya unafiki.

Waolewaji wanatafuta waoaji wa kuwabadilishia maisha yao Huku waoaji wengi wamekuwa wazembe hali ni ngumu.
 
Hapo sasa aliyeuziwa chain kauziwa chain bandia na aliyetoa hela naye katoa pesa bandia, hapo watoto wa mjini tunasema ngoma droo.
 
We hushangai kanisani wanaweka wanatafuta waume wa kuwaowa na wakati huo huo wapo wanaume kibao katika kanisa hili hilo wanatafuta wanawake wa kuowa
 
Hakika ni maajabu sana..!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…