[emoji23][emoji23][emoji23]hajamalizia jamaniii khaa,.Hivi umejielewa?
Hii stori inasikitisha sana aiseeee, yalaaaaaahhhhMwaka 2013 nilihamia morogoro pamoja na familia yangu kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo, wkt Niko pale( kwasasa nishaondoka) katika pilika za maisha nilikutana na jamaa mmoja( Jina kapuni) alikuwa akijishu
Ishakamilika mkuuNimejikuta nacheka aisee. Huyu jamaa atakuwa anatumia computa ya ofisi. Sasa mara paaap, bosi kaingia... na jamaa hataki bosi ajue ID yake kazima komputer ghafla......... Tusubiri mpaka kesho akifungua ofisi cha kwanza atakuja kumalizia story yake
Hahahahahahahahah ..... Habari inaning'inia sana hii.Hivi umejielewa?