Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,690
- 3,382
Saudi Arabia imeiomba South Korea kuimarisha ulinzi wake wa anga.Hii inakuja mara baada ya uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kampuni lake kubwa la uchimbaji mafuta na gesi na drones ambazo zinasadikika hazikutoka Yemen,bali Iran.
Pamoja na mkwara mzito wa Saudi Arabia wa kuiambia dunia kuwa shambulizi hilo litajibiwa, mwisho wa siku Saudi Arabia inaonekana kutafuta msaada kwa washirika wake.
Wakati huohuo,Iran imeiambia Marekani kuwa kitendo chochote cha kuishambulia Iran kitajibiwa kuelekea kwenye vyanzo vya mashambulizi.
Yetu macho na masikio.
Saudi crown prince requests help from South Korea to strengthen air defenses: Yonhap
Saudi Arabia's crown prince Mohammed bin Salman has requested help from South Korea to strengthen the country's air defense system after attacks on two oil plants initially halved the country's oil production, South Korea's Yonhap news agency reported on Wednesday.
@ReutersWorldChannel 
Iran tells U.S.: Response to any attack 'won't be limited to its source'
Iran's retaliation to any military attack will not be "limited to its source," Tehran said in an official note to Washington, Iran's semi-official ISNA news agency reported on Wednesday.
@ReutersWorldChannel 
Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app