Ama kweli ndoa ndoano

Sio kwamba hakujua tabia za Mwanamke huyo toka mwanzo La hasha!

Ni ile vijana tukiwashauei wanasema wao. Wanajali Mtoto mzuri mwemye tako na sura tamu na kwamba Tabia watavumilianasasa wavumilie tu.
 
Kuna ndugu yangu alioa muhindi yule mmama R.I.P alikua very humble to the earth..
Yule mama alikua na elimu ya juu ya hotel management so alikua anasimamia hotel Moja kubwa katika jiji Moja mashuhuri..
Ndugu yetu alikua anamsumbua sana kula sana mtaji mavituko mengi kedekede lakini yule mmama alikua anaupendo wa dhati Kwa ndugu yetu.....
 
Nime
kunukuu,

""Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yangu halafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake""

Mwanamke utamlisha miaka 10 ila yeye akikulisha wiki Moja anakutangaza.....

NB,

Mkuu 😊 ushaur wa Bure Kwa wanaume wenzangu ukipata muda kula vizuri kabisa kunywa vinywaji unavyo penda jitoe outing mwenyewe.
Siku nilipo gundua najibana nasaidia sana watu alafu pesa yangu inaliwa Bata ☺️😊
 
Pole San mkuu HV ,sasaa mkuu Nini kilikupata Hadi kupelekwa gerezani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…