Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
- Thread starter
-
- #41
Nukuu , unayemfukuzia na anayekupenda.Big noo , jamaa yako hajakosa hela , amepungukiwa tuu Kwa kiwango ambacho huyo slayqeen wake kinamtoa kwenye mudi, mwanamke akikupenda acha kabisa , atakutia moyo Sana na atafanya kila liwezalo uinuke...na kabla ya kuoa wanaume wote huwa tunapitia kwenye uamuz wa makundi hayo mawili , demu unayemfukuzia na demu anayekupenda , mara nyingi huwa tunaangukia Kwa demu unayemfukuzia na kumtosa anayekupenda , shughuli huanza ukiishiwa mtaji
Mzee mbona unakuwa na roho ya kishetani hivoakishindwa kabisa amfanyie mkewe figisu mpaka hahakikishe kaachishwa kazi .
Majitu kila siku nayaambia humu NDOA NI UTAPELI ila hayaelewi.
Jitu la hivyo likinisimulia face to face nalipiga MAKOFI.
Mmmh mapenzi nayo!anaweza kwenda kumwambia unavyomshauri hivi jf!Hiyo ndio hali halisi au tabia halisi ya huyo mke,kipato cha mumewe kilikua tu kinaificha hiyo tabia yake,
Mshukuru Mungu amekupa mtihani ili ugundue kua huyo sio mke,sikuombei mabaya ila siku ikitokea ukaugua na kushindwa hata kujitafutia riziki,huyo mwanamke atakunyanyasa sana au hata kukuacha ukiwa katika hali hiyo,
Huyo sio Mke,hakufai kabisa coz huo ndio ulikua mtihani wa kumtambua jinsi alivyo,achana nae mara moja kabla hayajakufika makubwa zaidi,na kitendo cha kukutangaza mpaka kwa ndugu zake nacho hakivumiliki,
Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.
Yakikaa Sawa aendelee naye au amteme ?Mshauri tu hayo ni mambo ya mpito tu... Mambo yatakaa sawa hamna marefu yasiyo na ncha.
Dawa mfuko ukiwa na maokoto na wewe yatumie kama silaha kwaoWanawake wana dharau sana kama mume ameyumba kiuchumi
Mpokee huyo ni mkeo tu ..iwe jua au mvuaMkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
Noma SanaMkuu baada ya hapo nikakomaa mahakama ya kazi!Miaka 8nikawa nauza maji ya bombani kwa wenyeji wa kitopeni,Mungu saidia nikashinda kesi na kulipwa!Alivyosikia!Kaja kama mwewe na mahaba kibao.Ila sisi wanaume sio wote,tusimcheke Samson wa kwenye bible.
Baaab kubwa hiyoPamoja na hayo utashangaa wanadumu milele
NDIORafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
Haya dada!Mpokee huyo ni mkeo tu ..iwe jua au mvua
Samson na Delila.
Dah pole sana Mkuu. Mungu akupe faraja katika maisha yako.Mwambie hayo ya kawaida hawa wanawake tunaokutana nao tukiwa na ajira,mimi nilifukuzwa kazi nikauza gari nililonunua milioni7kwa shsmilioni moja na laki tano!Na vitu vingine baada ya kuuza vitu vingi nikawa tena sina kitu cha kuuza hapo ndipo kipengere kikaanza na figisu kibao;Hadi nikapelekwa gereza la Isanga baada ya kukosa mdhamini!Mwambie asiwaza apambane Mungu ni mwema ndoa ya kweli ni ya mkulima tuu!
Kwakweli kz ipoNDIO
KABLA YA NDOA:
UNYENYEKEVU 100%
USIKIVU NA UTII 100%
BAADA YA NDOA:
UNYENYEKEVU 0%
USIKIVU NA UTII 0%
HESHIMA 0%.
NA TUKISEMA NDOA NI JEHANUM KWA MWANAUME, NAMUWE MNASIKIA MBWA NINYI.
Usemalo ni kweli lakini kwa upande wangu sikutia neno nilibaki kuitika tu.Usipende kuwa mshauri wa mapenzi au ndoa za watu...utaumbuka we haya
Ni zipi hizo mwanasimba mwenzangu? Naona hizi zilinipita. Zitaje pulizi pengine nitajifunza kakitu.Akope hela ampe...
Amesahau kanuni 5 za kuishi na mwanamke?