Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,617
- 3,718
- Thread starter
-
- #261
Hahaha hajapata wa kumnyooshaHuyo mwanamke ingekuwa mm ananitolea kauli kama hizo ningemrekodi ujinga wake nibaki na ushahidi alafu namfukuza usiku wa saa6 had8 kama mbwaaa akaoelewe anapotaka
Uoga huuBora kuishi mwenyewe bila mke au mwanamke. Haufi!
Kwakuwa physically, economically na mentally fit halafu stress free, haki acha niitwe muoga. Hamna taji la hodari aisee😂Uoga huu
Apa ndio kale kama msemo kua maharage ni matamu kushindwa nyama(ibhiharagi bhisumbi nyama)tulio ndugu sehem yenye changamoto kibao ndipo neema yako inakaribia sisi kama acha tuendelee kulimaRafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,
Anasema wakigombana kidogo anamtolea kauli za kukera " sio bure nilikubalije kuolewa na mwanaume kama wewe lazma uliniroga haikuwa akili yanguhalafu mwanamke anaanika habari zao kwa ndugu zake.
Jamaa anasema alikuwa tu anasikia ndoa ni ndoano lakini amejionea mwenyewe na pia anaona utofauti akilinganisha na kipindi cha uchumba jinsi mahaba yalivyokuwa mazito.
HahahaRafiki yangu wa karibu alikuwa ananisimulia changamoto anazokutana nazo kwenye ndoa yake ambayo ina umri wa miaka mitatu anasema hivi karibuni mambo yake ya kiuchumi yameenda mraba sasa imepelekea dharau kubwa kuibuka kutoka kwa mke wake ambaye yeye ana kipato cha uhakika kwakuwa ni muajiriwa ,