Muhimu haujavunja amani ya nchi, wengne hata wazo la kuwa na familia bado alijatusogelea kichwan. Kila sku mambo yanazd kuwa mengi looh!
Zaman walisema kila mtoto huja na sahani yake, lkn sasa hv sahan znakuwa huku dunian wao wanakuja tu bila sahani.
Yapasa ujipange ili umuandalie mtoto maisha bora, asteseke kama ulivyoteseka ww(naongelea kwa waliozaliwa familia za kimaskini kama me).
Elimu wanasema bure, lkn haina ubora. Yapasa kujipanga s kuzaa tu ili mrad, yafaa nn kuzaa mtoto ukiwa na miaka 16 baadae akaishia kuwa panya road au kahaba kutokana na kukosa mahtaj ya msingi na mzaz kushndwa kumlea je, utajivunia nn!?
S kila kitu yafaa kujuta, mengine n swala la kumshukuru Mungu(Allah)